Bango | Waambie wasikilizaji wako maana na madhumuni ya aya unazosoma
Kusoma Qur'ani ni chombo, ni njia; kwa nini? Wakati maarifa elimu ya Qur'ani yatulie moyoni; Kwanza kabisa, jambo hili hukuza jamii ya Kiislamu. Katika kikao ambacho kama qari unasoma Qur'ani itakuwa bora iwapo kwa muda wa dakika kumi au tano ubainishe madumini ya aya? Hii ni hatua nzuri sana; Hii huinua kiwango cha maarifa cha hadhira, na kufikisha hadhi ya juu kikao hicho. [Ayatullah Khamenei; 28 Aprili 2024]